Pole sana dogo ila acha kukariri kua jf member wote wanaishi bongo au wamepigika kama wewe,hivi unajua bei za nyumba China? Au una amini tu kila unacholetewa kwa kutokujua?
Ningekujibu majibu ya lugha chafu kama ulivyoanza ila acha niheshimu mwezi wa toba huu.
Mtu anatembea na watu 20 kwa wakati mmoja!!.. Hata mwanaume wanawake 6 tu kwa wakati mmoja anachanganyikiwa!.
Sasa huyu mihogo 20 anatafuna tu!. Dunia Gunia.