Fursa hii kwa wadada!!!!

Hawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba
nimecheka sana eti anahama na nyumba mm nakumbuka niliwahi kuzima simu week nikamuomba boy wangu simu mwaka Juzi unanijibu


NASHUKURU SAIVI HUPATIKANI HEWANI KAMA NINA SHIDA UJE KAZINI KWANGU HAKUNA KUWA NA SIMU

sitakaaa nisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…