Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,855
- 6,855
Hakikahizi record unaweza kuitwa kituko
Hakikahizi record unaweza kuitwa kituko
Khee, shemeji, bado yule mtu anatembea kichwani mwako...??? Nilikwambia mroge yaishe.. Hawezi akawa anakufanya uwaze aliyokwambia tu kwenye kila uzi unaouanzisha banaa... EMBU MPIGE KIPAPAI UTULIEIngekuwa bongo mdada huyu saivi angekuwa na majina haya
Malaya
Kahaba
Mbeba waume za watu
Jobless
Slay queen
Mwanaume utakayemuita mwanamke malaya kuanzia leo wewe ni mbweha kumbe kuna tuzoo.
Aliachana nao au walikuwa wanamuacha...?
Huyu bibi lazima alikua gold digger