ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,628
- 4,970
Habari wadau.
Mikononi mwangu nina pisi nne za vitabu vya tiketi kati ya Yanga na Al Alhly ambavyo nimenunua kwa shilingi 1,400,000.
Vina jumla ya ticket 50 kila kimoja tiketi ya shilingi 7,000.
Kila nikiviangalia mapigo ya moyo yananidunda ni kweli nitafanikiwa kuziuza ticket hizi hapo kesho ama la.
Nilishawishika kutoka kwa rafiki yangu kuhusu biashara hii siku nyingi tu Sasa leo asubuhi na mapema nikafanikiwa kuzinunua hizi ticket.
Makusudio yangu ni kuuza kila ticket kwa sh 10,000 ambapo nikifanikiwa kuuza zote nitapata 2,000,000.