Fursa gani zipo Dodoma?

Fursa gani zipo Dodoma?

Jembebutu

Senior Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
100
Reaction score
272
Salama wakuu?
Mitaani kuna mazungumzo kibao kuhusu fursa zilizo wazi mjini au nje ya mji wa Dodoma. Napenda kunufaika na mojawapo ya fursa hizo mjini au nje ya mji. Napenda kuzijua na pia kuteua iliyowazi kwangu kuifanyia kazi. Mtaji wangu ni 1.Mil ila tunaweza kuweka shughuki za kiwango chochote ili kuwanufaisha wengine pia. Tafadhali kwa menyewe uelewa tunatega masikio.
Shukran.
 
65164895df9d774cb7fad6d32bb5a9da.jpg


Mkuu karibu sana Dodoma ukifika tuonane nikuuzie kiwanja,Nyumba hata Shamba kisha utakutana na fursa nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom