Furnished studio needed in Dar for rent one month

Furnished studio needed in Dar for rent one month

Njele

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
275
Reaction score
121
Wanaojua au wenye kufanya biashara hiyo kuna mwanafunzi mmoja toka nje ya tanzania atakua kutembelea Tanzania. Anapendelea furnished studio badala ya hotel. Ni mwanafunzi hivyo anahitaji cheap gharama ambayo anaweza kuimudu kulipia.

Mwenye taarifa anipm nitamfikisha information na kufanya mipango yo booking. Inahitajika mapema iwezekanavyo. Thanks.
 
Back
Top Bottom