mimi nishasema usingizi umekata
eti ukitongozwa una....
OMG mjini siami ng'oooo
Hili lenye malepe ya wazi limesema lenyewe linajali shaba tu,khahaaa... Dunia iko likizo!
ki ukweli mi nimeshindwa kuelewa
Giggy money...ilaaa mtoto mashallla..
hamna kitu hapo papuchi ni full mavumbi tu!
Alafu wote hawana akili, huyu gigy ndo zero brain..
Sidhani kama wamegusa sec. Hawa?
Halafu samu na huyu gigy money watakua kama vile wanafaragha,maana ya wiki iliyopita huyu demu alikua anaropoka places wanazo ruka kwanja na samu,so there z more behind the scene hawa watu,ndo maana kweny show ya fnl humkosi huyu muuza mwili
iv bado kipo hewani...niwashe TV yangu ya hurisi na mm ni one umbo #8 .
Alafu wote hawana akili, huyu gigy ndo zero brain..
Sidhani kama wamegusa sec. Hawa?
haahhaa kivipi mkuu
papuchi inakuaje?
Eti anakunywa HENNESSY anajiona mjanja, hard and very strong liqour..
Kazi kweli.
Eti unamuuliza unafanya kazi gani wakati yupo kazini!!! Waseme wanaulizwaga sh. Ngapi? Sio porojo nyingiii....
Kwani akili zinapatikana secondary?? Mungu alimuumba binadamu akampa akili,.
unaua nilimsikia nikahisi ni heineken
daah hiyo si ile ina rangi kama dawa ya kifua ile ya mkojo wa punda
na pia sili whsky hilo ndo maana mtu akifikisha miaka 30 utasema ana 50
kazeeeka kwa sababu ya ma pombe makali yasio na fomula
Unawatizama lakini hawa makahaba??