Tutunze maliasili zetu ili zituburudishe hata kwa kutazama tu.[/QUOTEA/]
Aiseeeeee jamani kweli Mungu anjaua kuumba na anapenda wanadamu yaani vyote hivi alitupa ili macho yetu yafurahi,lkn binadamu uharibifu sasa mmmmhhh yaani we acha tu,ebu ona na hizi hapa,jamani dunia imeumbwa;