mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
-
- #61
Mkuu mbona hii ifont nikizima simu nikiwasha inataka nifanye setting upya.?.na wakati mwingine hata nikitoa lock inatoka hadi nifanye tena setting. Msaada please.
Mh kwa kweli hiyo itakua ni app error tu en jaribu kuiunstall alafu install upya na je unatumia sim gani mkui
Nipe maujanja ya kuroot huawei y 330 mkuu
Jaribu mkuimkuu mi yangu ni tecno F5 inawezekana hayo mautamu
Jaribu mkui
Mh kwa kweli hiyo itakua ni app error tu en jaribu kuiunstall alafu install upya na je unatumia sim gani mkui
Huawei y 530
mkuu nimejaribu nimeona changes zimekuja vizuri ila hiyo Solo launch sijaiona naona tu cheetah launch, finger gesture launch, cobo, lollipop .Hiyo solo sijaiona nadhani hicho ndicho kikwazo cha kutopata font pack
Mie natumia nova launcher nadhan ni tamu kuliko hiyo solo yako
Nimepachika uzi mwingine hapa
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=836733
Unahusu launcher ingine matata karibun :thumbup:
Mkuu kuna app kibao ila install z4root alafu io itakupa maelekezo yote sana sana io apk utaikuta 4shared
Nimejaribu kuroot kwa z4root, RootX,OneClickRoot na nyingine imegoma. Mwisho imeniletea huu ujumbe
Ni simu ya aina gani hiyo? Umejaribu kutumia KINGO ANDROID ROOT?
Smart kicker Kingo Android Root sijajaribu ngoja niangalie