Yeah Ni Pazuri kweli; Lakini UCHUMI WAO UMEPOROMOKA HASWA na Kuna WATANZANIA WENGI wanaoishi UGIRIKI hawana kazi na
Hawawezi kwenda Kuomba Msaada wa SERIKALI ya UGIRIKI sababu wengine hawako kihalali; Hawapati kazi UBAGUZI WA RANGI UMESHAMIRI
HASWA; Nadhani hata kwenye OLYMPICS MWANADADA Mwanamichezo wao ALIFUKUZWA OLYMPICS kwa kuwashutumu watu WEUSI HUKO;
alikuwa ni Dada wa chama cha KIFASHISTI; Wabongo wengi wana shida hata TICKET za KURUDI BONGO SHIDA...
WARENO pia wana matatizo lakini WAO WAMEKIMBILIA ANGOLA na MSUMBIJI na wamepata KAZI huko; UGIRIKI haikuwa na MAKOLONI
AFRICA...
Mkuu hao wabongo wengi wao walizamia au inakwaje maana nimesikia wana maisha magumu huko,na ubalozi wa tanzania hauna hata msaada wowote,nimesikia wanateseka kweli.
You meant Greece?Wengine wako kihalali wengine sio Isipokuwa sababu ya SHIDA hata ya CHAKULA na UBAGUZI wa Rangi; Hata hao wa kihalali hawapati vitu Muhimu kama
Mikate na SUPU... Ubalozi wa Karibu ni lazima wapite bahari na nchi kadhaa kufika UBALOZI wa ITALY au kupanda BOTI hadi Alexandria halafu CAIRO
Na Machafuko Hawawezi... SERIKALI ya CCM Ina Mpango wa kufungua UBALOZI TURKEY kwahiyo labda itawasaidia Mbeleni sio LEO AU KESHO...
Ugiriki nini bana, njoo Mwanza huku, hiyo miamba yote hata Mwanza ipo. Pia tuna Malaika hotel na ziwa Nyanza!.Mkuu nngu007.....upo Ugiriki nije kukutembelea.....?
mweee ondoeni picha hizi..yaani kuna mtu fulani yuko pale magogoni akiziona hizi yaani mara moja atataka kwenda kwenye mapumziko mafupi..uwiiii kodi zetu
mkuu ushawahi fika mbinguni?tuhadithie kidogoMwanangu kunavutia!... Utafikiri ni fukwe za Mbinguni vile!!!