Kivutio gani Tanzania umewahi kutembelea na ungependa kuona kivutio kipi siku zijazo?

Jogoo mbegu

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
824
3,406
Tanzania tumebarikiwa vivutio vingi vya asili mfano mbuga za wanyama, fukwe, milima, n.k (warembo 😃)

Binafsi nimeshatembelea Ngorongo, Manyara, Oldipai George, Amboni.

Natamani sana ni pande huu mlima Kilimanjaro siku moja nikaone mandhari ya huko juu ikoje.
vilevile na tamani siku moja ni katulie Zanzibar nikaone mambo ambayo nimeyasoma shuleni na mingine kuyasikia toka mitaani.

Je, kwako kivutio gani umeshawahi kutembelea na ungependa kwenda kivutio kipi kwa siku zijazo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom