Furahia picha za mandhari ya fukwe za ugiriki.

Yeah Ni Pazuri kweli; Lakini UCHUMI WAO UMEPOROMOKA HASWA na Kuna WATANZANIA WENGI wanaoishi UGIRIKI hawana kazi na

Hawawezi kwenda Kuomba Msaada wa SERIKALI ya UGIRIKI sababu wengine hawako kihalali; Hawapati kazi UBAGUZI WA RANGI UMESHAMIRI

HASWA; Nadhani hata kwenye OLYMPICS MWANADADA Mwanamichezo wao ALIFUKUZWA OLYMPICS kwa kuwashutumu watu WEUSI HUKO;

alikuwa ni Dada wa chama cha KIFASHISTI; Wabongo wengi wana shida hata TICKET za KURUDI BONGO SHIDA...

WARENO pia wana matatizo lakini WAO WAMEKIMBILIA ANGOLA na MSUMBIJI na wamepata KAZI huko; UGIRIKI haikuwa na MAKOLONI

AFRICA...
 
Duh, jombaa ww noma. Naona umefunguka mzimamzima. Ilikuwa ni kuangalia tu picha na kufurahia uumbaji wa Muumba, haya mengine ni nini tena?? Anyway. Thanks lakini.
 
Pole Sana... UZURI WA MACHO sio UZURI wa Maisha...
 
Ngoja nipigie kura hizi fukwe za ugiriki ziingizwe kwenye maajabu saba ya dunia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu hao wabongo wengi wao walizamia au inakwaje maana nimesikia wana maisha magumu huko,na ubalozi wa tanzania hauna hata msaada wowote,nimesikia wanateseka kweli.
 
Wengine wako kihalali wengine sio Isipokuwa sababu ya SHIDA hata ya CHAKULA na UBAGUZI wa Rangi; Hata hao wa kihalali hawapati vitu Muhimu kama

Mikate na SUPU... Ubalozi wa Karibu ni lazima wapite bahari na nchi kadhaa kufika UBALOZI wa ITALY au kupanda BOTI hadi Alexandria halafu CAIRO

Na Machafuko Hawawezi... SERIKALI ya CCM Ina Mpango wa kufungua UBALOZI TURKEY kwahiyo labda itawasaidia Mbeleni sio LEO AU KESHO...
 
Wengine wako kihalali wengine sio Isipokuwa sababu ya SHIDA hata ya CHAKULA na UBAGUZI wa Rangi; Hata hao wa kihalali hawapati vitu Muhimu kama

Mikate na SUPU... Ubalozi wa Karibu ni lazima wapite bahari na nchi kadhaa kufika UBALOZI wa ITALY au kupanda BOTI hadi Alexandria halafu CAIRO

Na Machafuko Hawawezi... SERIKALI ya CCM Ina Mpango wa kufungua UBALOZI
TURKEY kwahiyo labda itawasaidia Mbeleni sio LEO AU KESHO...
You meant Greece?
 
na ndio maana mi sipendi wazungu kila siku weusi tunasisitizwa tuache ubaguzi lakini wao ndio wanauendeleza kwa bidii.anyway picha ni nzuri ila wamche mungu awaepushie matatizo maana hao hawamwamini mungu vizuri.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom