si lazima uburudike na tusker tuuuu kuna na udirinki mwingine hahaaa (proudly african)Baada ya Kazi...
mkuu hii inaweza kuwa hata kabla ya kazi, watu kitu asubuhi tu kiguu na njia kwa mama muuza, kazi kweli kweli..Baada ya Kazi...
mi wapili kutoka kulia ndio kanivutia... yani tayari yuko njwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... na hapo anapiga hesabu ya kumalizia kukatia sokoni kale kambuzi kalikobaki...
watani mpo?
Wengine hapa mmetuacha njia panda, nini maana ya hii picha?