Furaha yao imepitiliza!

Furaha yao imepitiliza!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Watoto wanaonesha wamepitiliza kwa hisia za furaha baada ya Mh.Raisi kuwatembelea.

attachment.php
 
Attachments

  • watoto.jpg
    watoto.jpg
    61.9 KB · Views: 1,240
Wasafi wote wamevaa "yebo yebo" vipi wale ambao wameachwa? Umasikini wa "akili" ni mbaya sana!
 
Ndugu yangu thithi Warombo ni watu wa dili. Naombeni mnipe namba ya DC na afisa Elimu wa hiyo wilaya nifanye tenda ya kusupply YEBOYEBO kabla ya Hh. Rais hajang'oa nanga huko. Yethu wangu, Kuna eleri kibao. Yewomiiiiiiiiiii!!!! mamndenyi umeona hili dili?
 
Huyo wa pili kushoto ana viatu si ajabu ni mtoto wa mtu mkubwa huko, na si ajabu walipewa amri wasio na yebo yebo mkae nyuma msije mbele.
 
Sijui wanadanganywa nini hapo watoto wetu maskini!
 
Age hii ni nzuri maana hujui whats good and bad for you......wewe unachekelea tu.
 
Watoto wanaonesha wamepitiliza kwa hisia za furaha baada ya Mh.Raisi kuwatembelea.

attachment.php

Hivi Mheshimiwa hajisikii kuguswa na maisha ya watoto hawa?? maana anaonekana kama ameridhika kabisa na hali waliyonayo. Wanaonekana hawana hata madarasa ya kusomea, hawana waalimu wa kutosha, umaskini umewazunguka! Wapi ilani ya Uchaguzi ... Elimu bora kwa kila mtoto
 
Huyo wa pili kushoto ana viatu si ajabu ni mtoto wa mtu mkubwa huko, na si ajabu walipewa amri wasio na yebo yebo mkae nyuma msije mbele.

Hizo wamenunuliwa rasmi kwa ajili ya hili zoezi mkuu.
 
Maskini malaika hawa...........wangejua.....pangechimbika
 
Usikute YEBO x2 ni sehemu ya sare ya shule, na mwalimu ndio ana supply.
 
Hivi Mheshimiwa hajisikii kuguswa na maisha ya watoto hawa?? maana anaonekana kama ameridhika kabisa na hali waliyonayo. Wanaonekana hawana hata madarasa ya kusomea, hawana waalimu wa kutosha, umaskini umewazunguka! Wapi ilani ya Uchaguzi ... Elimu bora kwa kila mtoto

Speculation!
 
Kama Mtanzania wa kawaida haguswi kwa nini yeye aguswe?
 
Back
Top Bottom