CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,230
- 591
kote kotendani ya yesu ni nje au ndani ya ndoa?
kote kotendani ya yesu ni nje au ndani ya ndoa?
Ni wewe mwenyewe na ujipime kwenye kila kitu
Maana kila kitu kina kiasi na ukizidisha ni kero
Unataka kupata nini katika ndoa
Na anayelalamika kuhusu ndo aana yake aliyoyatamani ambayo kwake anaona hajatimiza na ambaye anafurahia ujana nae ana yake ambayo bado anaendelea nayo nayo yanampa furaha
Jipime kwa kila kitu kama uko tayari kuingia kwenye ndoa ingia kama hauko tayari na unaona maisha ya kuwa single ni mazuri endelea nayo mpaka muda wako
Usilazimishe chochote au usifuate mkumbo
mkuu umenena vema sana, hapa nilipo ninafuraha sana maishani mwangu nje ya ndoa, naogopa nikioa naweza kuipoteza hii furaha.
Mkuu kabla ya kujipongeza kuwa nje ya ndoa na furaha yako ungepata na upande wa pili wa wale ambao wako ndani ya ndoa nao wanasemaje
Nina furaha ya kuwa ndani ya ndoa yangu na naipenda sana familia oyangu na najuta kwa nini sikuingia mapema katika hilo
Mkuu ukimpata yule ambaye atakupa furaha maishani mwako naamini utakuja hapa kutuambia namna ulivyo na furaha kuwa ndani ya ndoa
Karibu sana ukiwa tayari mkuu
kote kuna raha yake ili mradi umpate yule munaendana kwa kila kitu na kuelewana kwa kila sehemu hapo mtaenjoy sana na hutaona tofauti ya aliye ktk ndoa au nje ya ndoa
mkuu umenena vema sana, hapa nilipo ninafuraha sana maishani mwangu nje ya ndoa, naogopa nikioa naweza kuipoteza hii furaha.
Hi wana Jf, naomba tujadili kuhusu maisha ya ndani au nje ya ndoa ni yapi yanafuraha zaidi? Sasa hivi ukikaa na wana ndoa hawaishi kulalamika juu ya ndoa zao, vile vile wasio na ndoa wanatamani sana kuingia ktk ndoa, hapo ndipo ninapoachwa njia panda. Furaha ya maisha ipo wapi? Ndani au nje ya ndoa?