Furaha ya kila mzazi

du mi nasema hapana, pesa sio faraja pekee hapa duniani familia na kuishi na watu vizuri ni faraja pia.
upo sahihi mkuu familia yenye watoto ni furaha kuliko kitu chochote wapo matajiri wanahangaika kupata watoto
 
Watoto wanaonekana wana afya nzuri, ni furaha kwa wazazi ila unaweza kuta wewe mzazi mwanaume unalea mtoto wa mwenzako hapo, wanawake wengine ni makatili sana aisee.
Hawafikii ukatili wa ccm kwa wa tz. Samahani lakini kumbe na huku upo!
 
Kweli kabisa
Ama kweli tunatofautiana mitazamo
Ndio maana wengine wanatoa kafara watoto zao ili wajenge majumba na kudrive mandinga makali
ukifika mitaa flani ya nchi yetu, unakuta kila badhi ya nyumba kuna mazezeta, utakuta wadada wengine wantupa watoto baada ya kuwazaa, je pesa au watoto?
 
Back
Top Bottom