Well said Mkuu! Na picha kama hivi huwashawishi sisi vijana bachelor tutafute mabinti wa kuoa ili kujenga familia bora na sio bora familia LAKINI maumivu ya kichwa huanza pale unampompenda binti mrembo kabisa wa 20s years lakini anakupiga kwenzi kichwani kwamba bado anaendelea kuchagua......halafu akifika 30s years anaanza kukesha kwenye maombi Mungu ampe yeyote mwenye nia ya kumuoa
Nyie wadada wazuri tuhurumieni jamani waoaji, mtupe nafasi na sisi tufyatue watoto wazuri kama hao.....UZURI WENU UNA MWISHO MJUE....shauri zenu!
Kwa sababu tu huna ndugu yangu!furaha ni pesa tu hakuna kingine.
Well said Mkuu! Na picha kama hivi huwashawishi sisi vijana bachelor tutafute mabinti wa kuoa ili kujenga familia bora na sio bora familia LAKINI maumivu ya kichwa huanza pale unampompenda binti mrembo kabisa wa 20s years lakini anakupiga kwenzi kichwani kwamba bado anaendelea kuchagua......halafu akifika 30s years anaanza kukesha kwenye maombi Mungu ampe yeyote mwenye nia ya kumuoa
Nyie wadada wazuri tuhurumieni jamani waoaji, mtupe nafasi na sisi tufyatue watoto wazuri kama hao.....UZURI WENU UNA MWISHO MJUE....shauri zenu!
Na ukipata hyo pesa lazima utataka tu huyo mtotofuraha ni pesa tu hakuna kingine.
Uko sahihi mkuuWell said Mkuu! Na picha kama hivi huwashawishi sisi vijana bachelor tutafute mabinti wa kuoa ili kujenga familia bora na sio bora familia LAKINI maumivu ya kichwa huanza pale unampompenda binti mrembo kabisa wa 20s years lakini anakupiga kwenzi kichwani kwamba bado anaendelea kuchagua......halafu akifika 30s years anaanza kukesha kwenye maombi Mungu ampe yeyote mwenye nia ya kumuoa
Nyie wadada wazuri tuhurumieni jamani waoaji, mtupe nafasi na sisi tufyatue watoto wazuri kama hao.....UZURI WENU UNA MWISHO MJUE....shauri zenu!
Msomali bado unakula ujana au tulianzishe?
Usicheke tunawapenda sana lakini mumezidi malingo kisa kilampitapo njemba zinawatolea macho basi kiburi kina wajaa mnajiona mumezaliwa Jana tu
Yaani Kama wewe basi tu
Watoto wanaonekana wana afya nzuri, ni furaha kwa wazazi ila unaweza kuta wewe mzazi mwanaume unalea mtoto wa mwenzako hapo, wanawake wengine ni makatili sana aisee.Well said Mkuu! Na picha kama hivi huwashawishi sisi vijana bachelor tutafute mabinti wa kuoa ili kujenga familia bora na sio bora familia LAKINI maumivu ya kichwa huanza pale unampompenda binti mrembo kabisa wa 20s years lakini anakupiga kwenzi kichwani kwamba bado anaendelea kuchagua......halafu akifika 30s years anaanza kukesha kwenye maombi Mungu ampe yeyote mwenye nia ya kumuoa
Nyie wadada wazuri tuhurumieni jamani waoaji, mtupe nafasi na sisi tufyatue watoto wazuri kama hao.....UZURI WENU UNA MWISHO MJUE....shauri zenu!
Mbona hakuna mtoto wetu hapo? Hakuna mtoto Mbantu hata mmoja, sasa furaha gani hiyo?