CCM utawajua tu mawazo ya ya kuzimu kuzimu tu. Ukisikia Makamba akiongea ni ushuzi mtupu,akiongea Tambwe ni uharo mtupu, huyu ZOBA naye ni kinyesi kitupu.
there must be a reason people hawakurupuki tu kuanza kuandamana na hii ya arusha nahisi is just a start,the way goverment is handling things most of the people are fed up!!!
Hii nyuzi mlinishambulia wengi, nauliza leo kiko wapi? mbona muafaka mmeufikia na hao hao mliokuwa mnawapinga? tena baada ya kufa watu? Wakati ule mlikuwa hamjui kuwa kila kitu kinazungumzika? au mliingizwa kichwa kichwa na viongozi wenu? nanyi kama misukule mkafata tu? Sasa kiko wapi?
Exactly "they got fired at", kwa nini? kwa sababu ya kufata watu wenye "upumbavu" ambao wamewaambia andamaneni na huku poilisi wamesha tangaza msifanye maandamano, matokeo? tunayajuwa wote, hakuna siri.
Hahahaaa, nina uhakika wewe ni "mpumbavu" zaidi yangu kuanzia kwenye vyeti mpaka exposure lakini "NILIANDAMANA" pia "Get ousting them or better I die trying"