In total agreement with you, pasi[po hitajika fujo kuanzisha fujo ni "upumbavu" tene mkubwa sana, mpaka unafikia watu kufa na wengine kujeruhiwa, nakuaminia kwa ku analaizi hii hali kwa neno moja tu.
Exactly "they got fired at", kwa nini? kwa sababu ya kufata watu wenye "upumbavu" ambao wamewaambia andamaneni na huku poilisi wamesha tangaza msifanye maandamano, matokeo? tunayajuwa wote, hakuna siri.