nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,723
- 11,979
Report Maalum
Dunia imethibitika hakuna furaha tena
Adui wa dunia hii ni mwanadamu
Watu wengi wenye huzuni ni matajiri na wasomi
Upungufu wa nguvu za kiume na kike
Maradhi mbalimbali...ugumu wa maisha
Kuharibika mifumo ya uyeyushaji chakula mwilini
Ushirikina na uchawi mkuu(masonic cum illuminatti)
vitendo vya ukatili
Teknolojia pia hufanya furaha iwe mbali na viumbe aina ya ngurumbili
Magonjwa ya zinaa,na kuingiliwa kinyume na maumbile(kuzukumwa kinyesi/njiaya upepo)
Kukosa msaada hasa kwa viongozi wa Dini.
Ngoja nikavute kidogo ntarudi.