Furaha katikati ya ufukara mkuu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,640
729,672
fb7fa0032692a529904876e7a7f61d9e.jpg
 
aaah! aaah! aaah! lakini umeshapata fununu wapi wanapogawa sukari ya bure hapa dar tupeane mchongo mkuu!
Sukari ni kiashiria (indicator)cha tatizo kubwa mbeleni....kwakuwa mfumo uliopita uliwalea baadhi ya watu wakawa untouchable
 
Sukari ni kiashiria (indicator)cha tatizo kubwa mbeleni....kwakuwa mfumo uliopita uliwalea baadhi ya watu wakawa untouchable
hao matajiri wanaoficha sukari wafiche na wanawake basi ili nao tugaiwe bure maana siku hizi maisha kibinda nkoi kama huna fedha hukojoi...
 
Ndio faida ya kuwa mtoto
hujui hata kama wewe huna kitu...

cha ajabu watoto hawa hawa watakuja kuendesha magari mazuri huku wamekunja sura zao
na ukiwauliza watakupa orodha yashida walizo nazo...


'ignorance is bliss'...
 
Back
Top Bottom