Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5.
Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani?
hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu.
samahani kama heading imekukera pia.
ze comedi yaTangazo lenyewe linahusu nini?
dah ile ngoma ya wagosi,BAO ni shida,...huwaga naickiliza mara 2,2Kama huo msemo unakukera s
Inabid
Sikiliza wimbo wimbo mpya wa wagosi wa kaya "BAO" .
Halaf leta mrejesho .
Hahahahahah....! we Makamee wewe..., ahahaha...!You never know pengine moja ya malengo ya hiyo media ni kukera watanzania.
Cha msingi wewe onja zote hiyo fupi na ndefu kisha lete mrejesho hapa.
Semeni tangazo linasemaje ? wenye DStv hua hatuoni channel 5.
Kama huo msemo unakukera s
Inabid
Sikiliza wimbo wimbo mpya wa wagosi wa kaya BAO .
Halaf leta mrejesho .
Kama huo msemo unakukera s
Inabid
Sikiliza wimbo wimbo mpya wa wagosi wa kaya BAO .
Halaf leta mrejesho .
Huo wimbo kwa mara ya kwanza nauskia ofisini nilikuwa na akina mama mmoja akazima redio fasta... Hata ile WTF ya airtel siielewielewi eti.