Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
- Thread starter
-
- #21
Bro ndyo maana hujielewi. Umekosa kazi umeenda kukaa vijiweni. Shame on u.Mkuu tulia hivyo hivyo kama unanyolewa, mimi zamu yangu tayari nipo kijiwe bila kazi tangu aingie jamaa. Bado zamu yako tulia kimya unyolewe.
Magu angekatwa kwny Mchuano wabongo tungelaumu sana
Mkuu, huyo bwana hakuwa kama alivyo leo.. Kipindi anakusanya wadhamini alikuwa mpole, mnyenyekevu sana!Magu angekatwa kwny Mchuano wabongo tungelaumu sana
Mkuu, huyo bwana hakuwa kama alivyo leo.. Kipindi anakusanya wadhamini alikuwa mpole, mnyenyekevu sana!
Sikutegemea kama atakuja kuwa na dharau na kebehi kiasi hiki..
Sidhani kama kuna aliyetegemea hizi tambo kwa alivyokuwa akinyenyekea!
Mnaoamini katika kuomba muombeeni!
Nahisi kama nimekuelewa hiviLawama zote wabebe wakina lowassa, membe na Jk walishindwa kumaliza tofauti zao mapema
Hahaa kijiweni nikafanye nini mkuu. Vijiweni kwenyewe wanapiga vizinga si unajua nao wanaisoma namba viroba vimezuiwa?Bro ndyo maana hujielewi. Umekosa kazi umeenda kukaa vijiweni. Shame on u.
Mkuu umeingia chaka kirahisi kama sina sehemu ya kipato natoa wapi pesa ya bundle na mengineyo? Don't hate the player(JPM/Makonda) hate the game(politics).Bro ndyo maana hujielewi. Umekosa kazi umeenda kukaa vijiweni. Shame on u.
Umenifurahisha sana ebu agiza kinywaji chochote bill kwanguNaona kila mtu anatafuta maneno yake ya kupoza machungu.Ndani ya miaka 5 watanzania tutakuwa tumejua sheria, vifungu vya katiba na nadharia nyingi sana zinazohusiana na utawala.
Account ya matusi na kebehi pia itakuwa full.
Utakuwa unamuomba shemeji akoMkuu umeingia chaka kirahisi kama sina sehemu ya kipato natoa wapi pesa ya bundle na mengineyo? Don't hate the player(JPM/Makonda) hate the game(politics).
kweli mkuuJust wait ur turn is soo soon. Nani alidhani clauds watamchukia makonda na mkulu? Nani alidhani nape kutoa kauli kama hizi anazotoa leo. Wenyewe walisema kuwa hakuna jiwe litakaloachwa bila kufunuliwa.
Vimba upasuke.Hii thread kwanini haifutwi? Mod achen uonevu
Uhuru wa kutoa maoni mkuu. Sasa ingefutwa ungechangia wapi japo kwa kupinga?Hii thread kwanini haifutwi? Mod achen uonevu
Mkuu hapa duniani tunaishi kwa akili tu. Wengine wanaingiza pesa na hawaendi kazini asubuhi daily iwe ya kujiajiri au kuajiriwa. It's about time and labour force laverage mkuu. Why work if you can make others work for you?Utakuwa unamuomba shemeji ako