Funzo: Siku nyingine Watanzania mkiwa mnachagua Rais, Mfanye Family Background check

Mkuu, huyo bwana hakuwa kama alivyo leo.. Kipindi anakusanya wadhamini alikuwa mpole, mnyenyekevu sana!

Sikutegemea kama atakuja kuwa na dharau na kebehi kiasi hiki..
Sidhani kama kuna aliyetegemea hizi tambo kwa alivyokuwa akinyenyekea!

Mnaoamini katika kuomba muombeeni!

Ila hawa ndugu zetu wasukuma wakipata matako hulia mbwata. Nadhani bado hawajakua exposed sana na wana visasi visivyo na maana.
 
Bro ndyo maana hujielewi. Umekosa kazi umeenda kukaa vijiweni. Shame on u.
Mkuu umeingia chaka kirahisi kama sina sehemu ya kipato natoa wapi pesa ya bundle na mengineyo? Don't hate the player(JPM/Makonda) hate the game(politics).
 
Naona kila mtu anatafuta maneno yake ya kupoza machungu.Ndani ya miaka 5 watanzania tutakuwa tumejua sheria, vifungu vya katiba na nadharia nyingi sana zinazohusiana na utawala.
Account ya matusi na kebehi pia itakuwa full.
Umenifurahisha sana ebu agiza kinywaji chochote bill kwangu
 
Nakubaliana na wewe. Wazungu wanafanya hii family background check kwenye nafasi zote zilizo muhimu kwenye mataifa yao.
 
Utakuwa unamuomba shemeji ako
Mkuu hapa duniani tunaishi kwa akili tu. Wengine wanaingiza pesa na hawaendi kazini asubuhi daily iwe ya kujiajiri au kuajiriwa. It's about time and labour force laverage mkuu. Why work if you can make others work for you?
 
Sio watanzania sema chama fulani.. Sio kisa mmekosa mtu baada ya kuwakataa simba na yanga mkatupa team makorokocho..
 
Magufuli nasikia aliwahi mtandika kofi dadaake kisa tuu alikataa kusubiria ambao hawajafika kwenye msiba wa ndg yao alofariki
 

Similar Discussions

73 Reactions
Reply
Back
Top Bottom