Funzo: Siku nyingine Watanzania mkiwa mnachagua Rais, Mfanye Family Background check | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funzo: Siku nyingine Watanzania mkiwa mnachagua Rais, Mfanye Family Background check

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by heradius12, Mar 20, 2017.

 1. heradius12

  heradius12 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2017
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 7,668
  Likes Received: 9,911
  Trophy Points: 280
  Watanzania sasa muache tabia ya kuchagua viongozi kwa ushabiki. Siku nyingine muwe mnaangalia hata tabia za ao viongozi kwenye familia zao. Angalieni mahusiano yaliyopo kati ya baba na mama pamoja na watoto katika familia. Ni vizuri hata kuangalia mahusiano yake na ndugu zake. Kiongozi mwenye familia yenye amani na upendo tele ndye mwenye sifa ya kupewa nchi.

  Ukiona kwa mfano Rais leo anasema hiki mara mawaziri wake wanasema vile ujue hata kwenye familia yake ni ivyo ivyo. Baba anasema hiki mama naye anasema vile.

  Ukiona Mgombea kwenye familia anaendekeza ubeberu ujue hata mkimpa nchi, atafanya ubeberu huo huo.

  Ukiona Mgombea hana mahusiano mazuri na ndugu zake, mkimpa nchi hawezi kuwa na mahusiano mazuri kivile hta kwa nchi za majirani zake.

  Ukiona Mgombea, familia yake haina fraha, msijidanganye hata sikumoja kuwa mkimpa nchi mtabaki na fraha mliokuwa nayo.

  Mkiona mgombea anatabia za umimi kwenye familia yake. Mkimpa nchi atafanya maamuzi kwa kujipendelea yeye bila kuangalia mahitaji ya watu wake.

  Mkiona kiongozi haeshimu sheria na viapo vya ndoa yake. Hata mkimpa nchi msitegemee ataheshimu katiba na sheria za nchi yake.
   
 2. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #41
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Mkuu baeleze hawa mutu haijui ilikosea wapi. Mimi nilikuwa mkereketwa wa chama kile cha team gear angani sasa tulivyopigwa changa hilo nikawatosa fasta najielewa na kujitambua. Huwezi kuniambia miaka 8 huyu mchafu then ghafla acardabra kawa msafi ndio tumpe maisha yeye na genge lake. Ile dhambi ya kutusaliti ndio imetuletea haya ya mabunduki ktk vituo vya TV.
   
 3. mngony

  mngony JF-Expert Member

  #42
  Mar 21, 2017
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 3,251
  Likes Received: 2,051
  Trophy Points: 280
  Uzi haujafutwa? Matusi haya
   
 4. mr mkiki

  mr mkiki JF-Expert Member

  #43
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 22, 2016
  Messages: 2,086
  Likes Received: 4,030
  Trophy Points: 280
  True
   
 5. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #44
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Haya madudu yanayoendelea na huu utata wa kiuongozi unaoendelea ni mshahara wa dhambi ya usaliti wa CHADEMA kutuletea fisadi. Wangeweka mtu msafi mida hii tusingemjua Bashite wala CCM isingekuwa madarakani. Dhambi hii tuwalaumu Mbowe, Maalim Seif, Mbatia, Lissu, Msigwa, Sugu, Baregu, Kubenea, Lema, Lipumba kwa kutuwekea fisadi, na Slaa kwa kukubali kushindwa kupinga uhuni ule. Mungu anatoa adhabu kwa dhambi ya kuwasaliti watanzania na kusaliti kaulimbiu ya ufisadi. Upinzani wangeweka mtu sahihi Bashite angekuwa kitaa anasota bila kazi sasa yupo hapa na hili jiji sasa linaitwa jiji la Bshite. Dhambi ya Lowassa ndio kubwa kwa tamaa yake iliyopitiliza na chuki yake ya kuukosa uraisi alihamua kumkomoa Membe kumbe alikuwa anatukomoa watanzania. Mkuu JPM piga kazi Mungu kakuleta umalize tatizo la uvivu, rushwa na unafiki. Mungu yupo pamoja nawe nasisi wenye uchungu na nchi tupo pamoja nawe.
   
 6. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #45
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Mimi nilidhani utasema uliona? Haya mambo ya hear say hatuyataki yamekaa kishilawadu.
   
 7. d

  dagii JF-Expert Member

  #46
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Chadema mnashida sana
   
 8. J

  Josue1994 Member

  #47
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2017
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  MKUU HAUNA TOFAUTI NA WANAFUNZI WANAOJUA SANA ENGLISH LAKINI WANAPATA ZERO NECTA....... ENGLISH SKILLS ZAKO HAZIENDANI NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI..... TRY TO THINK OUTTA BOX.... ANGALAU ENGLISH YAKO ISIENDE BURE......
   
 9. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #48
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Richmond ni ya kikwete sasa ufisadi wa lowasa ni upi?
   
 10. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #49
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Mchango wako unaendana na umri wako.
   
 11. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #50
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Kwanini Lowassa alikubali yatendeke hayo in his watch? Kwanini hakujiudhuru kabla hajashinikiza ule mchakato ufanyike haraka? Kwanini alikaa kimya akajiudhuru akaendelea kukaa kimya hadi maazimio ya bunge yakapita kiana kisha baada zaidi ya miaka miwili ndio aseme JK alihusika? Think 10 times deeper.
   
 12. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #51
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Mungu si mjinga hivyo hawezi kukaa na nyinyi, yaani Daud anatumia vyeti Feki mungu akae hapo? Kuwabambikia watu kesi, Uonevu wa kila aina, kuwapora watu magari kwa vitisho vya kuwaweka kwenye List ya dawa za kulevya, kukamata Unga kimya kimya kwenda kuuza South Africa ni Mungu kawatuma? Acheni kumshirikisha Mungu na mambo ya shetani
   
 13. Econometrician

  Econometrician JF-Expert Member

  #52
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 25, 2013
  Messages: 8,384
  Likes Received: 7,480
  Trophy Points: 280
  Kama Mtu anamshindwa ku mu contol mke wake ambaye hata vitabu vya dini vinasema utakuwa juu yake
  Ataweza ku contol kaya zote
   
 14. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #53
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Kama unafikiri kujua kiingereza vizuri ndio uwezo mkubwa wa kufanya reasoning basi wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri tena haustahili kufanya mjadala na mimi. Sababu hutakuja kunielewa kamwe. Kiingereza is nothing its like Zaramo or kurya vernacular language.
   
 15. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #54
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Obama alikuja kuzindua nini ubungo? Unajua chimbuko la ule mchongo ? Ulizia vizuri utajua Richmond ni ya Nani na ilikuaje obama abariki dili hilo ukijua kufuatilia hapo ndipo utajua kuwa Lowasa alijiuzulu kumwepusha kikwete na Aibu tu.
   
 16. S

  Sexless JF-Expert Member

  #55
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 11, 2017
  Messages: 3,412
  Likes Received: 5,232
  Trophy Points: 280
  Rais wa barabara name bomoabomoa huyu . Mengine tutayapata awamu ya rais mwingine (endapo huyu ataachia madaraka)
   
 17. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #56
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Mungu gani anakaa na watu wa visasi kama bwana yule wa misukule? Mbona Mbowe hajafanya visasi? Use your head!
   
 18. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #57
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Makonda yy kashindwa kumzalisha mkewe hata mtoto wa kusingiziwa nje hana.
   
 19. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #58
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Visasi vipi? Yaani kumlaza ndani mtu mpaka waumini wake wakataka kuhama anajihami mnasema ni visasi? Ulitaka Gwajma abambikiwe kesi akae kiimya kisa eti ni kulipa visasi? Tambua kuwa Gwajma anajitetea na si visasi bali ni kuwaonyesha watanzania kuwa Makonda licha ya kujinadi ni mtu saafi kumbe hana usafi wowote bali kaamua kutengeneza Dili la Rushwa na hana vyeti hii si kusasi ni Ukweli acha kufananisha Ukweli juu ya tabia mbovu za makonda na visasi.
   
 20. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #59
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  There you are! Excellent now we speak same language. Kwanini amuepushe adhabu mtu aliewatendea dhuluma watanzania masikini? Kumbe nae kashiriki uovu na kilichomtokea ni motekeo ya kuwasaliti watz. Na haya yanayotokea sasa ni malipo yake. Yani hata yanayomkuta Mbowe ni malipo ya usaliti. Kama alichukua pesa kwa kumpa uwakililishi wa kugombea uraisi basi hakika hiyo fedha itarudi kwa watanzania kupitia NHC na TRA. Malipo hapahapa duniani.
   
 21. lwiva

  lwiva JF-Expert Member

  #60
  Mar 21, 2017
  Joined: Apr 17, 2015
  Messages: 1,700
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Watu wa mwanza kuwapa uongozi ni tatizo mfano wa bichwa ni cheyo ukimpa uongozi MTU kama cheyo nchi itaenda kimilembelembe
   
Loading...