Funzo: Siku nyingine Watanzania mkiwa mnachagua Rais, Mfanye Family Background check | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funzo: Siku nyingine Watanzania mkiwa mnachagua Rais, Mfanye Family Background check

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by heradius12, Mar 20, 2017.

 1. heradius12

  heradius12 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2017
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 7,668
  Likes Received: 9,911
  Trophy Points: 280
  Watanzania sasa muache tabia ya kuchagua viongozi kwa ushabiki. Siku nyingine muwe mnaangalia hata tabia za ao viongozi kwenye familia zao. Angalieni mahusiano yaliyopo kati ya baba na mama pamoja na watoto katika familia. Ni vizuri hata kuangalia mahusiano yake na ndugu zake. Kiongozi mwenye familia yenye amani na upendo tele ndye mwenye sifa ya kupewa nchi.

  Ukiona kwa mfano Rais leo anasema hiki mara mawaziri wake wanasema vile ujue hata kwenye familia yake ni ivyo ivyo. Baba anasema hiki mama naye anasema vile.

  Ukiona Mgombea kwenye familia anaendekeza ubeberu ujue hata mkimpa nchi, atafanya ubeberu huo huo.

  Ukiona Mgombea hana mahusiano mazuri na ndugu zake, mkimpa nchi hawezi kuwa na mahusiano mazuri kivile hta kwa nchi za majirani zake.

  Ukiona Mgombea, familia yake haina fraha, msijidanganye hata sikumoja kuwa mkimpa nchi mtabaki na fraha mliokuwa nayo.

  Mkiona mgombea anatabia za umimi kwenye familia yake. Mkimpa nchi atafanya maamuzi kwa kujipendelea yeye bila kuangalia mahitaji ya watu wake.

  Mkiona kiongozi haeshimu sheria na viapo vya ndoa yake. Hata mkimpa nchi msitegemee ataheshimu katiba na sheria za nchi yake.
   
 2. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #61
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Njaa zimekutoa fahamu mpaka umekariri visasi hata sehemu ambapo visasi havipo, mtu kujitetea dhidi ya uonevu wa makonda ni visasi? mbowe jana katangaza mgogoro na makonda Nchi nzima, hakuna cha visasi wala nini yaani Daudi anawatendea watu unyama wakijihami anasema ni visasi? Acheni ujinga dawa ya moto ni moto hata kama mtamtetea vipi makonda Safari hii chupi itampwaya sana kwani lazima akonde sana.
   
 3. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #62
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,955
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Usaliti upi ulifanywa na Lowasa? Tambua kuwa JK alimhujumu kule Dodoma akaamua kuhama chama kwenda chadema hapo usaliti upo wapi? Kuhama chama kisa amehujumiwa Dodoma si usaliti pengine hujui maana ya usaliti, malipo yapi hapa Duniani? Kama ni wizi wa kura za lowasa nyinyi ndiyo mlimwibia kura kwa uchakachuaji mkubwa na kama ni malipo ya Duniani yatakuja kwenu kwani mnachofanya kumkumbalia makonda na Udikteta kuzuia mikutano ya siasa malipo mtayapata hapa hapa Duniani.
   
 4. gasto genaro

  gasto genaro JF-Expert Member

  #63
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 15, 2014
  Messages: 779
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 180
  Daah.

  Kweli watu wasirudie kosa 2020
   
 5. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #64
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Kwanza wewe kwa uandishi wako tu wa all caps inaonekana ulienda shule at least form two lakini haukuelimika. Sasa leo nakufundisha kitu muhimu kikusaidie. Ukiandika kwa herufi kubwa tupu maana yake una shout (wapiga makelele) na hii sio tabia na desturi ya wasomi au watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Kesho kajifunze punctuation marks and e.t.c kabla hujakuja hadharani kubishana na wakongwe. Nenda kawaulize internet nerds au gicks watakufundisha. Stop shouting!
   
 6. Titicomb

  Titicomb JF-Expert Member

  #65
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 3,652
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  Wewe dini gani? Tuanzie hapo kwanza. Kama wa dini ile ambayo Bwana yule wa kanisa lile anajinasibu nayo ni ukiristo unasema sameheme 7 x 70, na mtu akikupiga shavu la kushoto wewe mgeuzie na shavu la kulia akupige. Na sala aliyofundisha Yesu anaemuhubiri bwana yule inasema tusamehe kama tunavyo wasamehe walio tukosea. Ndio maana huyo Yesu hakuwalipia kisasai waliomtesa.
   
 7. J

  Josue1994 Member

  #66
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2017
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  BRO WANAITWA GEEKS SIO GICKS....... BRO UNAONEKANA WEWE NI MHAYA...... BTW UWEZO WANGU WA AKILI MKUBWA KUSHINDA WEWE...... ANYWAY YOU DONT THINK LIKE YOUR ENGLISH...... AT LEAST YOUR ENGLISH IS BETTER BUT THAT BRAIN OF YOURS NEEDS SOME SERIOUS TREATMENT.......
   
 8. J

  Josue1994 Member

  #67
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2017
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  YOU ARE SUCH A WASTE OF EDUCATION..... SO ITS ABOUT THE AGE NOW...? WOW... YOUR GRANDPA SHOULD KNOW A LOT ABOUT IPHONE...!!! HEHEHEHEH
   
 9. God iz bae

  God iz bae JF-Expert Member

  #68
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 19, 2017
  Messages: 524
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 180
  Na mm nitaongezea
   
 10. minji

  minji JF-Expert Member

  #69
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 2, 2016
  Messages: 1,462
  Likes Received: 1,578
  Trophy Points: 280
  Kabisa watz tumechoka
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #70
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,406
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Una ushaidi kuwa huyo sizonje alishinda kihalali? au uchakachuzi ulifanyika ndo maana hata yeye Jana huruma na wananchi
   
 12. j

  joyce mngongo JF-Expert Member

  #71
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 29, 2016
  Messages: 891
  Likes Received: 962
  Trophy Points: 180
  Hakupewa uraisi na wananchi,alipewa uraisi na lubuva tena kwa kura za wizi.ccm wachache sana waliodhani watakua salama ktk utawala wake nao pia walituponza kwa kusaidia wizi wa lubuva !
   
 13. Nyau Pori

  Nyau Pori Senior Member

  #72
  Mar 21, 2017
  Joined: May 29, 2016
  Messages: 131
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #73
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,095
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 280
  Mimi najiuliza swali moja tu.

  Zaidi ya kumaintain political stability mheshimiwa Rais bado anavigezo zaidi vya kumpa uharali wa kutawala?
   
 15. Nyau Pori

  Nyau Pori Senior Member

  #74
  Mar 21, 2017
  Joined: May 29, 2016
  Messages: 131
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Ukifuatilia kwa makini utaona kuwa yale maamuzi ya kukubaliana na masuala yenye sura ya ukatili kwa wananchi yanapita haraka kama vile kukubali kupeleka madaktari Kenya. Hii ni kuweka maisha yao mashakani kwani hawatabaki salama kwa kuonyesha wamew betray wa kwao
   
 16. strong ruler

  strong ruler JF-Expert Member

  #75
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 4,819
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  Hivi watu waliwaza nini kumpa Nyampara wa barabara Urais?
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #76
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,388
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  Hatunamfufmo mzuri wa kutengeneza viongozi na kuwaandaa kwa nafasi za juu......tunawaachia watu hovyo hovyo matokeo, yake ndio haya sasa!!! Wengine wana historia ya file zao Milembe
   
 18. Detective J

  Detective J JF-Expert Member

  #77
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 3,312
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Background check inahitajika... nasi tu kwenye familia... bali hata hata akiwa shuleni.. chuo... na mtaan anaishije na watu...
  Itatupa picha huyo mtu ni wa aina gani..
   
 19. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #78
  Mar 21, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 21,122
  Likes Received: 45,930
  Trophy Points: 280
  Nyie ndio mnafisadi hii nchi na kutapeli watu kwa miamvuli ya uongozi.
   
 20. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #79
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,161
  Likes Received: 3,399
  Trophy Points: 280
  Corruption ipi kama.mwanae ana magari ya wauza madawa
   
 21. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #80
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,161
  Likes Received: 3,399
  Trophy Points: 280
  Najua mmehuzunika sababu mlitegea makubwa but for me nuliyajua haya and am happy that sikumpa kura huyu jamaa thats why sijui kama ataipeleka hii nchi shimoni i dont care. But watz mjue kuwa huyu mtu ni wa visasi. Na maneno ya jana naomba muyaelewrle vzr kuwa si tu hakuna aliyesindikiaza kuchukua form ni indirect anawambia pia hamkunichagua kuwa Rais bali Lubuva na mkwere walivyopindua matokeo so kitu kimoja kwenyw background ya huyu jamaa yetu ni kuwa ni.mtu wa visasi.
  1.kule kwa wahaya aligombea ubunge mara mbili walimnyima ana akawaekea kisasi nadhani mliona rambirambi ziliishia wapi..full kisasi
  2.Anajua 2015 kura hazikutosha it means kuwa hatukumchagua so he is bitter for that ana kisasi na sisi na sehemu pekee aliyopata kura ni usukumani kwako ndio maana chato inamea kwa kuwekewa hela ambazo hata bajeti haijapitisha as anaamua mwenyewe na bashite. So sisi wengine ni visasi mpk miaka 10 ipite kama akijaliwa na kama akikubali kustep down after 10 years which i doubt...
   
Loading...