Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Watanzania sasa muache tabia ya kuchagua viongozi kwa ushabiki. Siku nyingine muwe mnaangalia hata tabia za ao viongozi kwenye familia zao. Angalieni mahusiano yaliyopo kati ya baba na mama pamoja na watoto katika familia. Ni vizuri hata kuangalia mahusiano yake na ndugu zake. Kiongozi mwenye familia yenye amani na upendo tele ndye mwenye sifa ya kupewa nchi.
Ukiona kwa mfano Rais leo anasema hiki mara mawaziri wake wanasema vile ujue hata kwenye familia yake ni ivyo ivyo. Baba anasema hiki mama naye anasema vile.
Ukiona Mgombea kwenye familia anaendekeza ubeberu ujue hata mkimpa nchi, atafanya ubeberu huo huo.
Ukiona Mgombea hana mahusiano mazuri na ndugu zake, mkimpa nchi hawezi kuwa na mahusiano mazuri kivile hta kwa nchi za majirani zake.
Ukiona Mgombea, familia yake haina fraha, msijidanganye hata sikumoja kuwa mkimpa nchi mtabaki na fraha mliokuwa nayo.
Mkiona mgombea anatabia za umimi kwenye familia yake. Mkimpa nchi atafanya maamuzi kwa kujipendelea yeye bila kuangalia mahitaji ya watu wake.
Mkiona kiongozi haeshimu sheria na viapo vya ndoa yake. Hata mkimpa nchi msitegemee ataheshimu katiba na sheria za nchi yake.