Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
ndio maana mnaogopa mpaka na kivuli chake, picha tu mkiiona ya antipas mnaweweseka ati uchochezi,We si unaona wengi wametulia sasa..hakuna cha fatma karume, sijui hellen bisimba wala wasanii uchwara..sasa ni kimya na nchi inaenda..huyo zitto anamalizia hasira za kukimbiwa na wanachama kwa hoja dhaifu..na watu wameshampuuza hadi wanachama wenzie.. Na wameamua kumkimbia sababu wameona mpuuzi hana hoja ila anataka kusikika