MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.
Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.
Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe
Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!
Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.
Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!
Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!
Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!
Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!
Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!
Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795. Body language ya Mbowe inaonyesha kushangaa madai ya Lowassa.

Last edited by a moderator: