Funza kwa ajili ya mifugo

Zinauzwa maduka ya kilimo na mifugo au maduka ya kawaida
 
Em haina unasaba na mavi?
Mana nafikiri ndicho kinachotumika kama catalyst katika kutengeneza hao funza.
Mi sio mkemia, ila ikitumika hata chooni inakata ile harufu ya mavi ..
 
EM (Effective Microorganisms) moja ya wasambazaji wachache kwa sasa (pengine wasambazaji pekee) ni kampuni inaitwa EMTEC ya ma Dr flani wa hapo UDSM. Ni tech ya kijapani oliyogunduliwa na Prof mmoja anaitwa Higer. Sina anwani zao ila I hope uki google utawakuta.

Nakubaliana na mleta mada kwamba funza ni bonge moja la protein source kwa mifugo hivyo ukipata njia reliable ya kuwazalisha kwa wingi basi ikumbatie.
 
ahsante ndugu yangu

hii
 
Ni chakula kizuri kwa samaki wanaofugwa kwenye pond
 
Wakuu nahitji msaada wa kuandaa funza kama chakula cha kuku
 
e bwana leo mwenzako nilienda machinjioni nikiwa na lengo la kupata uchafu wa tumboni wa ngombe ili niozeshe nipate hao funza bahati nzuri zaidi daktari wa mifugo pale machinjioni alinishauri nikaangalie kwenye pity la uchafu nione kama yatanifaa, ile kufunua tuu ilikua hatari ayo mafunza, aisee niliyakomba balaa kesho naenda tena,
 
Ko wawapa bila kuwa kausha mkuu
 
USHAURI
Kaombe ushauri Idara ya veterinary pale SUA, Morogoro funza aina hiyo wanene wanaweza kusababisha kuku wasitage. muone Prof. Mdegela atakupa experience ya wakulima wa Njombe na ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ