Yah atakama nibualim angalia na chuo uckute uliomba UD akat una DDE na div 2 ya12 apo lazma uambulie patupu mm najijua kabisa tang kitambo akil zangu na UD ni + na - ko ata cku i include kwenye selevtion zangu we omba vyuo vyakuelwe ka kulingana na ufaulu wako co ukomae na Mzumbe cjui Sua akat nawe n div 2. Ya DDE kama mm kaka TCU hawawez kukuacha iv lazma kuna sehem uli ji kwaaaaaBachelor's of art with education mkuu
Amna second round hulipi unatumia io io profile yako ya kwanza kuomba brooooYan iyo elfu 50 walionipiga nmewapa bure, siapply tena ata waeke ten round.
Huu ni ..............
Hamna mkuu nina div. 2 ya 10 nmeomba ad udom et pia wameniachaYah atakama nibualim angalia na chuo uckute uliomba UD akat una DDE na div 2 ya12 apo lazma uambulie patupu mm najijua kabisa tang kitambo akil zangu na UD ni + na - ko ata cku i include kwenye selevtion zangu we omba vyuo vyakuelwe ka kulingana na ufaulu wako co ukomae na Mzumbe cjui Sua akat nawe n div 2. Ya DDE kama mm kaka TCU hawawez kukuacha iv lazma kuna sehem uli ji kwaaaaa
OK OK thanx very muchKuna tangazo wameliweka kwenye site yao tcu.go.tz ila kama simu yako haina uwezo wa kufungua pdf files licheki kupitia link hii kupata mwongozo kidogo TCU: Call for Second Round FOR ALL FORM SIX Applicants who could not be selected in the first round of applications - Kijiwe Cha Wasomi
Duuu kwel mkuu.Amna second round hulipi unatumia io io profile yako ya kwanza kuomba broooo
Kweli kabisa brooTatizo udom umeiweka namba ngap kama ingekuwa ya kwanza wacnge kuacha kabsaaaaaaaaa m naic walikua wanaangalia chaguo la kwanza tu kama ujakiz vigezo wana ki chinja but omba kaka ombaaa acha uzembe mwanaume hakatag tamaa na vtu vidogo ka ivo
Yan mkuu kinachoniuma n kuikosa ata udom wakat kile kila mwaka wanaenda wenye threeHuu mchezo hauhitaji hasira mkuu, piga moyo konde omba tena.
Mkuu tena iyo udom ndio niliiweka ya kwanza il kuhofia hii second round.Tatizo udom umeiweka namba ngap kama ingekuwa ya kwanza wacnge kuacha kabsaaaaaaaaa m naic walikua wanaangalia chaguo la kwanza tu kama ujakiz vigezo wana ki chinja but omba kaka ombaaa acha uzembe mwanaume hakatag tamaa na vtu vidogo ka ivo
Sasa kak c as members tusha play part yetu na tume kushaur uombe so kuhusu kuwa tayar or kuto kuwa its up to u chelewa chelewa utakuta mwana c wako kumbka vyuo vilivowekwa second n vichache mnaovpiganoa saiv n weng aya bob kaz n kwako kama vodacomDuuu kwel mkuu.
Ila ata ivo bado akil yang imevurugika , na sijawa tayar kuomba tena.
Kiufup wameniboa
Asante kwa ushaur mkuuSasa kak c as members tusha play part yetu na tume kushaur uombe so kuhusu kuwa tayar or kuto kuwa its up to u chelewa chelewa utakuta mwana c wako kumbka vyuo vilivowekwa second n vichache mnaovpiganoa saiv n weng aya bob kaz n kwako kama vodacom
Maanayake urudie kuaply second round tena coz first umekosaView attachment 399346 jaman uki andikiwa hv maana yke huja chaguliwa au . msaada naomba wakuu
Thanks brooMaanayake urudie kuaply second round tena coz first umekosa