Mkuu ntakucheki uniangalizie bossAta mm pia yakitoka ntatangaza apa atae penda ntamchekia nipo full na satellite znanimulika apa geto internet speed 1000000xGB per sec
Namba izapa 0765 096851 Bureee rafkizang aya maisha kusaidiana
Poa poa bro mm nipo online 24hrs bobMkuu ntakucheki uniangalizie boss
Wenge lazma liwepo brooSioni sababu ya kuwa na kimuhemuhe, as long as mtu ulifaulu chuo utapata tu hata kama watatoa mwezi ujao!!
Mhh CHIMWAGAA ndo wap uko ni chuo icho??? Aseeyakitoka tu msiwe na hofu.mnachotakiwa kufanya nikuja tu pm au hapa hapa niwaangalizie wote.Mtakao kuja Chimwaga karibuni sana.
Utapajua tu ngoja ukiapply halafu round za mwanzo mwanzo zikakutemaMhh CHIMWAGAA ndo wap uko ni chuo icho??? Asee
Utapajua tu ngoja ukiapply halafu round za mwanzo mwanzo zikakutema
Niwe mkweli tu hii reply yako niliielewa mpaka hapom kwenye red ila kuanzia kwenye blue hamna nilichoambulia mkuu.rohaha hatar san ko ukik1 und 2 osa round mwana kumwaga chimwagaa duh wakinmwaga uko stui itakuaje aseee
Duh hatar bob nmechapia ad mm nlo andka celew nmeandka nn tcu waaasha nchanganya ivo akilzanguNiwe mkweli tu hii reply yako niliielewa mpaka hapom kwenye red ila kuanzia kwenye blue hamna nilichoambulia mkuu.
AhahahahahaNiwe mkweli tu hii reply yako niliielewa mpaka hapom kwenye red ila kuanzia kwenye blue hamna nilichoambulia mkuu.
hahaha mkuu punguza mihemko TCU wapo tu.Hio ndio kwanza round ya kwanza ila wengine wataapply mpaka round ya 10.Duh hatar bob nmechapia ad mm nlo andka celew nmeandka nn tcu waaasha nchanganya ivo akilzangu
Ase ngoja nitulize mshono kwakwel bro hamna namna TCU wapo tuhahaha mkuu punguza mihemko TCU wapo tu.Hio ndio kwanza round ya kwanza ila wengine wataapply mpaka round ya 10.
Ulijazaje machaguo yako matano mkuu?Ase ngoja nitulize mshono kwakwel bro hamna namna TCU wapo tu
M coz nlo jaza inaitaj wa2 mia 2 af tulo weka first priority ni 70 najana nlijiona bro nmechaguliwa sema naona tena mitaarifa uk wasap.mara cjui tarfa za jana niuongo ani wanamvuruga akil ujue nataman ata nije ChimwagaUlijazaje machaguo yako matano mkuu?
kozi gani na chuo gani ulichaguliwa?M coz nlo jaza inaitaj wa2 mia 2 af tulo weka first priority ni 70 najana nlijiona bro nmechaguliwa sema naona tena mitaarifa uk wasap.mara cjui tarfa za jana niuongo ani wanamvuruga akil ujue nataman ata nije Chimwaga
IFM~Bachelor of Sience in Tax Managementkozi gani na chuo gani ulichaguliwa?