MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,071 Apr 1, 2014 #1 Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha
Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha
vicarious Senior Member Joined Feb 13, 2013 Posts 151 Reaction score 55 Apr 1, 2014 #2 MankaM said: Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha Click to expand... Maneno yenyewe yakwap ss
MankaM said: Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha Click to expand... Maneno yenyewe yakwap ss
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,071 Apr 2, 2014 Thread starter #3 vicarious said: maneno yenyewe yakwap ss Click to expand... fununu na tetesi
vicarious Senior Member Joined Feb 13, 2013 Posts 151 Reaction score 55 Apr 2, 2014 #4 MankaM said: fununu na tetesi Click to expand... Hayo kwa kizungu tunaita synonyms Ni sawa na big na large Maana zinashabihiana Sioni tofauti za kimaana, tofauti zipo za kimofolojia (herufi)
MankaM said: fununu na tetesi Click to expand... Hayo kwa kizungu tunaita synonyms Ni sawa na big na large Maana zinashabihiana Sioni tofauti za kimaana, tofauti zipo za kimofolojia (herufi)
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,369 Reaction score 857,511 Apr 2, 2014 #5 Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi
Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,071 Apr 3, 2014 Thread starter #6 mshana jr said: Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi Click to expand... sante kwa ufafanuz
mshana jr said: Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi Click to expand... sante kwa ufafanuz
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Apr 4, 2014 #7 MankaM said: sante kwa ufafanuz Click to expand... we si umetoka shule juz mumy wenzio 2shazeeka.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,071 Apr 5, 2014 Thread starter #8 janeth1 said: we si umetoka shule juz mumy wenzio 2shazeeka. Click to expand... Wapi huko tena janeth
janeth1 said: we si umetoka shule juz mumy wenzio 2shazeeka. Click to expand... Wapi huko tena janeth