JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa.
Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17.
Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.