Funiko: Kipanya na Kijasti wafunikwa vibaya sana

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
hapa sitii neno hata kiduchuu
jkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.jpg
 
Alafu mwana mwaka huu ninashindana na Rejao kila kitu...vipi kuhusu pua yangu si nimesha mzidi? Kufikia 2015 hadi nchi tutaipokonya kwake/kwao
 
Vipi SI yule jamaa wa modem anayecheka kifurushi cha 500 kikiisha anapotea leo umemcheki? Alafu kuna jamaa jana kaja kwa mkwara anajiita mnusaji kesha pigwa ban..........hajaonekana tena

yule mwana sikumuona tena ..hahaha nilimpa ofa kuwa mambo yake yakiwa mabaya ani pm ila inawezekana hakurudi tena kwenye ile thread,..
 
Alafu mwana mwaka huu ninashindana na Rejao kila kitu...vipi kuhusu pua yangu si nimesha mzidi? Kufikia 2015 hadi nchi tutaipokonya kwake/kwao

kipua ha rejao ni subset tu hapo hakingii ndani..tatizo la rejao pombe ndio zinamaliza pua yake si unajua kutumia kombe lile la lager kwa hiyo pua ina under go evolution
 
Tatizo lenu viongozi wenu hawana mvuto. Tuna bahati sana watanzania hatukumchagua yule babu, cuz taifa lingeingia garama kubwa sana photoshop kutengeneza picha ya mkuu wa nchi!!
 
Kumbe huwa mnaingia photo shop??
 
hahahaaaaaaaaaaaaaah nasikia eti pale Ikulu magogoni mkuu wa kaya kaanzisha idara ya kuratibu misiba kwa jamii, hii humpangia msiba wa kuuzulia kila wiki huyu Bwana Mkubwa
 
Tatizo lenu viongozi wenu hawana mvuto. Tuna bahati sana watanzania hatukumchagua yule babu, cuz taifa lingeingia garama kubwa sana photoshop kutengeneza picha ya mkuu wa nchi!!
Unaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga unataka kusema alichagua kwa uzuri wake , unataka kusema ndiyo sababu ya kununuliwa suti na kulipiwa chumba cha kulala wageni aaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh kumbe ni kwa sababu ya uzuri wake basi aende kwa Cameroon naona hao wa wa suti hawakutoa matokeo mazuri...
 
Tatizo lenu viongozi wenu hawana mvuto. Tuna bahati sana watanzania hatukumchagua yule babu, cuz taifa lingeingia garama kubwa sana photoshop kutengeneza picha ya mkuu wa nchi!!

Kumbe huwa mnaingia photo shop??

hahaha najiuliza kama hivyo alivyo Rejao kaingia photo shop, angekuwa hajaingia je? sura yake tungeipatia matuzimizi ya ziada wallah tena.
 
Unaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga unataka kusema alichagua kwa uzuri wake , unataka kusema ndiyo sababu ya kununuliwa suti na kulipiwa chumba cha kulala wageni aaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh kumbe ni kwa sababu ya uzuri wake basi aende kwa Cameroon naona hao wa wa suti hawakutoa matokeo mazuri...
Naona kimekuuma sana...but ni ukweli usiopingika yule babu hana haiba! Kwa shughuli zetu mtu kama yeye huwa ni BACK OFFICER tu cuz anaweza kutukimbizia wateja akikaa front desk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom