Funiko: Kipanya na Kijasti wafunikwa vibaya sana

hahaha najiuliza kama hivyo alivyo Rejao kaingia photo shop, angekuwa hajaingia je? sura yake tungeipatia matuzimizi ya ziada wallah tena.
Rejao ni full HB, kila mtu anamzimika! Unacheza na huo upara na hiyo pua? Hapo ni full busara!
 
Ha ha haaa kafikiri kwa kina sana na huenda ndo jamaa anafikiria kwanini kamiss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom