HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
AD unaweza funguka kwangu
Kama niko interested na wewe.
Ntafunguka bila nukta. Lakini lazima nivutiwe nawe. Otherwise I'm not westing my time.
HP itachukua muda sana kwa hilo kuweza kufanyika
Bado tuna ile dhana kuwa mwanamke akikuambia anakupenda yaani akikuanza wewe lazima ana element za ubaya zaidi
Hata kama atakuwa amevumilia kwa muda mrefu bado dhamira yake na kutoa kile alicho nacho bado inamsuta
Atakufa na tai shingoni akiona mtu anayempenda anatoka anaenda kumpenda dada mwingine
Maana kuna wanaume wengine hata zile signs tuu za kuonyeshwa kuwa anapendwa hazioni wala nini
Tufanye nini ili hiyo dhana ya ubaya kwa mwanamke kufunguka iwatoke watu?
Kama niko interested na wewe.
Ntafunguka bila nukta. Lakini lazima nivutiwe nawe. Otherwise I'm not westing my time.
Nini kikuvutiacho kwa mwanaume?
Six Pack Abs......
Dreadlocks......
i know....
hujambo ?
Nini kikuvutiacho kwa mwanaume?
Six Pack Abs......
Dreadlocks......
You know that waooo lolz.
Mi sijambo bana we mzima lakini?
Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda na kizazi cha dot com haya mambo yanabadilika sana, itakuwa wanaume ndio wanatongozwa na kuringa kama wanawake wanavyofanya.Kwa muda mrefu sana, wapendwa wetu akina dada wamekuwa wakibanwa na utamaduni wa asili kwa kusubiri kuimbishwa na wakaka. Najaribu kufikiria kuwa, hata kama wao wamempenda mkaka ni ngumu kutamka wazi wazi, na wakijitahidi sana, huishia kuonyesha mapenzi kwa vitendo au kwa kumtega mtu.
Mara nyingi wao wakifunguka huwa inaleta tafsiri isiyo nzuri sana ndani ya jamii wakati kiukweli ilipaswa na wao pia wapate nafasi nzuri ya kumtamkia yule wanayempenda maana ni haki yao kimsingi.
Kwa tamaduni za wenzetu wahindi (sina uhakika kama ni wote), wanawake ndiyo huenda kumpropose mwanaume na hii imekubalika kabisa.
Naomba tuchangie jamani, kuna tatizo gani watanzania wakikubaliana na huu utaratibu wa kugawa fursa sawa kwa wote ikiwemo kuwakubalia na kutokuwatafsiri vibaya wadada wanaofunguka mbele ya wakaka?
Nawasilisha.
HP
mi mzima....wewe je?
siku ntingi sijakuona pande zile..