No woman no cry.We run the world....š
Ukiweza yashinda mapenzi utaishi miaka 90
No woman no cry.We run the world....š
je mtazamo wako ndio unataka iwe imani yetu?.Sio kweli fikiri tenaHabari za usiku ..
Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu.
Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko wako kirahisi kua mkweli kwake daima.. yani kila kitu mwambie ukweli na agundue kabisa humdanganyi hakika hatokaa hapo kwenye hayo mahusiano na wewe kabisa atakuona wewe ni fala tuu na hauna maajabu .
Fahamu wazi kabisa Wanawake wapo kihisia siku zote hawatumii akili kabisa katika maisha yao yote bali wanatumia hisia zao , na hisia zao zinawatuma wazi kabisa kuwa ukimwambia uongo ndio ukweli na ukimwambia ukweli ndio uongo and vice versa..
Hivyo wanaume wenzangu msiwasikilize hawa wanawake kabisa bali Tumieni akili kuishi na mwanamke hutojutia kamwe kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..
Na wakati mwingine tumia vichwa vyote viwili mwanaume mwenzangu
Nb..Sasa msiseme hamkuambiwa.. shauri yenu
Wanahangaika!Tafuteni mali nyie pimbi muwandike majina mama zenu, acheni kujadili wanawake muda wote....nyie vipi!!!!!
Sio sisi ni hizi ndrongaa[emoji23] kuzicontrol ni kazi hata mapadri wanashindwa[emoji23]Mtajua wenyewe!
Zinawatesa Sana š¤£Sio sisi ni hizi ndrongaa[emoji23] kuzicontrol ni kazi hata mapadri wanashindwa[emoji23]
Sema mapumbu yakitolewa hiyo mihemko inapotea[emoji23] Kuna wazungu wanafanya hivo....Zinawatesa Sana [emoji1787]
Kwa Nini Sasa na nyie wabongo msitoe?maana mnahemukwa sanaSema mapumbu yakitolewa hiyo mihemko inapotea[emoji23] Kuna wazungu wanafanya hivo....
UTAMU. [emoji23]Kwa Nini Sasa na nyie wabongo msitoe?maana mnahemukwa sana