Funguka

shem,
hebu mkumbatie mdogo wangu,
Alaaaa.....!!!
Lala ukue.

Nishampea moko la kitu kizima ! 45 hrs holding on board!
Mi nasubirigi basi kustuliwa katika habari za kutupia kambani ? Najituma utafikiri nawakilisha kijiji ! Muulize ye mwenyewe kama still anahitaji supplimentary ya ziada !
 
Shem kimoko tu?
Mpe angalau 2 c unajua alikuwa chuo mdogo wangu!
 
Shem kimoko tu?
Mpe angalau 2 c unajua alikuwa chuo mdogo wangu!

Yaani shem moko la 45 min. Tena la sie wa ugali user, is the same 3 of Sharobaro! Kwa dkk hizo hufikia mtu akataja hadi jina la ticha wake aliemfundisha kindargaten! Alaaaa! Maji ya kunywa jagi !
 
Last edited by a moderator:
Yaani shem moko la 45 min. Tena la sie wa ugali user, is the same 3 of Sharobaro! Kwa dkk hizo hufikia mtu akataja hadi jina la ticha wake aliemfundisha kindargaten! Alaaaa! Maji ya kunywa jagi !

hahahahahahaaaaa.....Wonders shall never end.
 
Last edited by a moderator:
Unapiga porojo mpaka muda huu kwanini? Haya kalale sasa Madame B saa kumi alfajiri hii, utaniota muda gani?

Jamani mpenzi.
Me niko Club nakesha muda huu.
Naenda kulala saa moja.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mpenzi.
Me niko Club nakesha muda huu.
Naenda kulala saa moja.

Angalia usijeni7bisha nikubadili jina nikuite POPO kwani wao hulala during da day na usiku ndio mchana kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…