Funguka ulichojikuta unashangaa kisichoshangaza

Funguka ulichojikuta unashangaa kisichoshangaza

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Sometimes mtu unajikuta unashangaa kitu ambacho hukutegemea utashangaa... mi juzi wakati naenda job nimepishana na mzungu anaendesha gx 100 nikajikuta nashangaa....

Wewe je? ulishangaa nin
 
Nilishangaa kwanini Kikwete kutonipa hata Unaibu Waziri , akanipa U'DC !
 
Back
Top Bottom