Funguka Mbunge Wako Yukoje?

Funguka Mbunge Wako Yukoje?

ha ha ha

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
638
Reaction score
84
Wakuu,
Kama mwananchi wa TZ ninawakilishwa katika nyumba ya kutunga sheria na mbunge ambae alipata kura mingi kumtosha akatuwakilishe,cha ajabu ni analala,kawa bubu,haulizi swali wala hajibu lolote,hana hata ile kunyoosha mkono!
Najuta kuwakilishwa na jamaa. Jamaa anamiliki magari ya dar-moro yana rangi nyekundu.Ata kutaja jina naona uvivu..
Aya wakuu waliokula hasara kama mimi tufunguke!
 
mi mbunge wangu ni Godbless Lema.......sina haja hata ya kumzungumzia........nadhani umeshamsikia..........
 
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
 
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
mkuu kazi ya mbunge ni kusambaza maji? Hebu fafanua hapa...
 
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi

we ni ---- mimi natamani agombee jimboni kwangu we unaandika upuuzi huo. inawezekana hata ujafikia umri wa kupiga kura. kweli unafatilia bungw wewe?
 
Mi wa kwangu muda wote ni kuunga mkono mia kwa mia kila hoja inayotoka serikalini, nadhani mnamfahamu vizuri.
 
Serikali ndo jukumu lake kwani inakusanya mapato yote,mnyika ana fungu gani la kusambaza maji,akili finyuuuuuuuuuuuuu
 
Nipo kinondoni dar esa salaam naomba anaye mjuwa mbuge wangu anisaidie jina lake,

Licha sijampigia kura nimehamia kino nikitoke kwenye mageuzi ya kweli
 
Tupo na Halima Mdee huku mitaani kila mara. Huwa anatujulisha masuala tata ya migogoro ya ardhi na maeneo ya wazi n.k. Kila la heri Mdee, tunajua harakati kali za akina Bujugo, Nyangwine, Diwani wa Mbezi Juu, n.k katika kutudhulumu ardhi. Kila la heri.
 
Mimi bwana ndugu naishi ukonga,,huyu Mwaiposa dah,najuta kuishi Ukonga.
 
Back
Top Bottom