Fungua macho umeona nini?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
chui.jpeg
 
Sikumbuki ni nchi gani... kuna chui amabo huwaita "Snow leopard" ni wadogo kiumbo na hawa wakwetu.ila jaribu kuangaza macho yupo sehemu amejificha kwenye hiyo milima
Duh! ... wewe Jidu .. umenisababishia kufungua macho yangu sana ..... haya huyo Snow Leopard huyu hapo chini kwenye picha

Nipe zawadi yangu!

lyOkxxM.jpg
 
Nimepata picha 5
1. Chini kulia kidogo mwa huyo chui kuna jamaa kavaa mzula (kofia) kama ya Pope
2. Sehemu iliyoandikwa chui rudi kushoto kuna picha ya Bikira Maria anaangalia pembeni
3. Chini ya Bikira Maria kulia kidogo kuna kichwa chenye sharubu
4. Kushoto kwa chini kidogo nyuma ya kichwa chenye sharubu kuna kichwa cha mtu kavaa miwani kama M. Ghandh
5. Juu ya mshale wa kushoto ulipoanziia kuna sura ya mtu unaonekana uso, jicho, pua na mdomo kaangalia kulia

Niko busy ningeona vingi
 
Haya kwa mara nyingine tena nionyeshe chui ila Dotworld usishiriki kwa maana macho yako ni hatari

Leopard.jpeg
 
Nimepata picha 5
1. Chini kulia kidogo mwa huyo chui kuna jamaa kavaa mzula (kofia) kama ya Pope
2. Sehemu iliyoandikwa chui rudi kushoto kuna picha ya Bikira Maria anaangalia pembeni
3. Chini ya Bikira Maria kulia kidogo kuna kichwa chenye sharubu
4. Kushoto kwa chini kidogo nyuma ya kichwa chenye sharubu kuna kichwa cha mtu kavaa miwani kama M. Ghandh
5. Juu ya mshale wa kushoto ulipoanziia kuna sura ya mtu unaonekana uso, jicho, pua na mdomo kaangalia kulia

Niko busy ningeona vingi

aiseee pamoja na kuolodhesha yote hayo hakuna hata moja nililofanikiwa kuona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom