Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,199
- 7,750
Kumbukumbu la waongo 77: 77 " the beauty of a woman is in the eyes of a beholder"
Andiko hili limechakachuliwa kutoka kwenye " Kitabu cha walevi 1:1 " ambacho kinasema " THE BEAUTY OF A WOMAN IS IN THE EYES OF A BEER-HOLDER"





"Hii bei huwa siuzi kabisa, ni wewe tu nimekupunguzia. Usije mwambia mtu umenunua bei hiyo".Waongo 1:4
Nakupunguzia bei kwa ajili yako tu!



Naona nyie Ndio waundaji wa duniaNitasoma kama ilivoandikwa.... Waongo 9:23-27 .... Ni heri wafe watu wote tubakie mimi na wewe hapa duniani....
waongp 2;24-25
“Ningekua sijaoa ningekuoa wewe”



@LIKUD nimeipenda hiiKumbukumbu la waongo 77: 77 " the beauty of a woman is in the eyes of a beholder"
Andiko hili limechakachuliwa kutoka kwenye " Kitabu cha walevi 1:1 " ambacho kinasema " THE BEAUTY OF A WOMAN IS IN THE EYES OF A BEER-HOLDER"
Kinachofuata asije akakulaumuWaongo 1:4
Nakupunguzia bei kwa ajili yako tu!
Mhh apo tunapigwa n vitu vizito sana kwny usogoWaongo 3: 12 Nakupenda peke yako sina mwingine zaidi yako
Mhh ukiangalia kipenyoWaongo Arobaini:kenda
" Taratibu,sijawai"
sisemi 
Imekaa kijasusi sanaView attachment 2271473
Waongo 2022: 07- Nanukuu kama ilivyoandikwa ''Baby ile biashara yangu ya kuagiza vitu kutoka China imeyumba kwa sababu ya korona, naomba uniongezee mtaji''.
Mmh nawe,mwone
Ukisogea mbele kidogo pale mstari wa tano, utakuta, tena peke yakoWaongo 2 fungu la 3 mstari wa 4, imeandikwa; "Nitakupenda daima"
😂😂 waongo ni hatari hadi wanahusisha wazazinikiendelea waongo 5:47 kinasema “Mama angu anakusalimia”