The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,890
- 4,865
Nitasoma kama ilivoandikwa.... Waongo 9:23-27 .... Ni heri wafe watu wote tubakie mimi na wewe hapa duniani....
Kwanini sikukujua mapema..!! Yaani waongo ni hatariWaongo waraka wa 2, 3-4 inasema
"siku zote ulikuwa wapi? Sijawahi pendwa kama hivi"
Kama kichwa cha habari kinavyo sema tukumbushane baadhi ya maneno naanza na waongoView attachment 2271292
Waongo 1:1 "kuna kazi kidogo naifanya baby nikimaliza nitakucheki"





