Fungua hapa: PADRI NA JOGOO.

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
kuna padri mmoja alikuwa anafuga kuku siku moja akapoteza jogoo wake. Akaingia kanisani kutangaza
PADRI:jamani nani ana jogoo?
Basi wanaume wote wakasimama
PADRI:duh!sijamaanisha hivyo jamani. Yaani nani kaona jogoo.
Bac wanawake wote wakasimama
PADRI:duh! Naona bado hamjanielewa jamani simaanishi jogoo huyo. Yaani nani kawahi kumuona jogoo wangu hapa kanisani?
Basi masista wote wakasimama.
PADRI:Mweh!
 
Kumbe jogoo wake alikua maarufu hadi masista wote wanamjua.aise padri c mchezo
 
Teh teh teh.Kiingilio changu kimetumika ipasavyo.
 
Wenyewe wakija waandalie majibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…