Fungua darubini yako hapa!

Fungua darubini yako hapa!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
bundi 2.jpg
1:Hapa je kuna nini?

bundi.jpg
2:Fungua macho uniaambie nini umeona

chura.jpg
3:Umeona nini hapa?

kware na watoto 5.jpg
4:Kuna ndege jamii ya kware na watoto wake wapo wangapi?hapa ufungue macho kwelikweli!

mjusi 1.jpg
5:Hapa unaona nini?

mwewe.jpg
6:Hapa unamuona mwewe?

mjusi 2.jpg
7:Hapa kuna mjusi umemuona

punda.jpg

8:Je unaona nini hapa?
 
Nimeona bundi,vifaranga 5,chura, kinyonga, mwewe,mjusi,swala
 
  1. Bundi wawili
  2. Bundi mmoja
  3. Chura mmoja
  4. Ndege
  5. Mjusi
  6. Kiotani katikati ya kipori
  7. Mjusi anapanda mti wa katikati
  8. Zebra anajilia majani makavu
 
Jidu ungekuwa mwalimu ungekuwa fair maana mitihani yako ingekuwa rahisi,hukompletish na mambo magumu!
 
Last edited by a moderator:
Nimeona bundi,vifaranga 5,chura, kinyonga, mwewe,mjusi,swala

hahaha omben ni swala kweli yule?ila hapo kwenye vifaranga ulifungua macho kweli kweli na kwingine upo sahihi kabisa
 
  1. Bundi wawili
  2. Bundi mmoja
  3. Chura mmoja
  4. Ndege
  5. Mjusi
  6. Kiotani katikati ya kipori
  7. Mjusi anapanda mti wa katikati
  8. Zebra anajilia majani makavu
Hapo kwenye ndege ujaniambia ana vifaranga wangapi?
 
hahaha omben ni swala kweli yule?ila hapo kwenye vifaranga ulifungua macho kweli kweli na kwingine upo sahihi kabisa
Wanaonekana vizuri kabisa.
Wawili wako karibu na jiwe upande wa chini. Wawili wengine wapo karibu na jiwe upande wa juu. Na mmoja yupo karibu na mama yake upande wa kulia.
 
Ndiyo maana ya blending to the environment,hata we ukiwa kijijini unatakiwa u - blend na wanakijiji walivyo,ukiwa mjini basi uwe kimjinimjini zaidi.
 
Hizo carmouflage kiboko! Inatakiwe uwe mchunguzi sana kuweza kuona content
 
hahaha!aisee ningekuwa mwalimu nadhani ningeshaachishwa manake nina hasira pindi usipoelewa!

Unaonekana una wito wa ualimu sema tu huupendi kwa sababu maslahi na sio hasira; kwa ufundishaji huu, bila shaka hakuna wa kutokukuelewa.
 
Back
Top Bottom