Fungu la mchicha limefikia ShT. 1000/=

Mchele, dagaa, nyama, sukari, maharage ,unga navyo kila mtu afanye namna ya kujipatia bila kununua?

na petroli pia, bila kusahau atafute ka-boti kadogo ka kumvusha pale Kivukoni.
Silly!
 
Jamani mie Bongo mchicha sili, naogopa wa bonde la Msimbazi :A S embarassed:

mbona hauna neno mkuu?
Kumbuka hata mbolea zinazokuzia mchicha ni kinyesi-kimba, ama cha ng'ombe au cha kuku. Ajabu i wapi sasa?
 
unayoyasema yanawezekana mkuu.
Ila kwa sytem ya kibepari ya Working 9 to 5, utapeana huduma kwa kijishamba chako muda gani, kumbuka kuna kupanda, kupalilia, kuweka samadi n.k n.k...
Hebu niambie?
 
chunga?
Watakuambia unamshambulia rais kwa sababu ya dini yake.
 
Tuliambiwa uchumi unapaa, na sasa mfumuko wa bei ni 20%, jamaa yangu mpenda dagaa ananiambia dagaa wa kigoma tsh.14,000/= kilo moja si gunia!

baleke bajobeke pambwani panyafu!
 
unayoyasema yanawezekana mkuu.
Ila kwa sytem ya kibepari ya Working 9 to 5, utapeana huduma kwa kijishamba chako muda gani, kumbuka kuna kupanda, kupalilia, kuweka samadi n.k n.k...
Hebu niambie?

Tuseme upo dar es salaam umeamka saa kumi na moja kwa watu wa mazoezi au wakaa mbali. Kazini wengi wetu tunatakiwa tufike ama tumejiwekea utaratibu wa kufika kuanzia saa 1:30. Hushindwi kumwagilia kwa dakika 15 kama wewe sio mpika chai ama unatayarisha watoto kwa shule. Kama uko single ndio rahisi kabisa - unajenga kautamaduni tu.

Ukirudi jioni kitu ni kile kile, kawaida kunakuwa na muda kati ya saa 1 hadi saa mbili kabla ya taarifa ya habari - utamwagia tena kama wewe sio mpishi. Kama ni mpishi unamwagia usiku baada ya taarifa ya habari. Kupalili weekend
 
Tuliambiwa uchumi unapaa, na sasa mfumuko wa bei ni 20%, jamaa yangu mpenda dagaa ananiambia dagaa wa kigoma tsh.14,000/= kilo moja si gunia!

baleke bajobeke pambwani panyafu!

halafu wakiitwa kwenye midahale wabanwe maswali, wanatoka nduki. Ila masikini huku uswahilini akili zinawakaa sawa sasa. Ule ushabiki wa kijinga unawaisha...
 
mhm?
Convicing, naweza kujitahidi hapa ninapoishi.
Sasa hebu tutazame suala hili kwa mtazamo wa kiuchumi, tuki-assume kuwa si kila mtu ana fursa ya kulima mchicha, na inambidi apambane na bei ya soko. Halafu kuna wadau wamesema hapo juu kuwa hata dagaa wa Mza washafika Sh.T 4000/= kwa kilo moja, na hili halikabiliki kama suala la mchicha, ni lazima ununue tu!
 
Lazima wafidie kwenye ongezeko la umeme. Si mmeamua kumlipa RA na JK (Dowans syndicate)
 
Lazima wafidie kwenye ongezeko la umeme. Si mmeamua kumlipa RA na JK (Dowans syndicate)

Inauma uchungu kaka..
Halafu wanatokea watu wanataka nao wale keki ya taifa kwajina la posho..
Dah...
Ngoja nimalize kwanza process hapa border nende zangu Libreville mie!
 
unajua kulalamika na kulaumu serikali hakusaidii chochote....ndo ishatokea sasa na haitabadilika na bei zinazidi kupanda kila kukicha. Mi nafkiri cha maana ni mbinu na jinsi ya kujikimu katika mfumuko wa bei wa vitu....nini kama kijana ufanye kukabiliana na hii hali. kwangu hilo ndo la maana !!!!
 
Unaishi kwa mazoea eh?
Nioneshe mahala nilipoilaumu serikali. Kulalamika kunahusika kaka, hata Mungu kuna mahali alilalamika!
Mada ndo nimeileta humu ili tujadili cha kufanya, wewe waona tufanyaje?
 
Unaishi kwa mazoea eh?
Nioneshe mahala nilipoilaumu serikali. Kulalamika kunahusika kaka, hata Mungu kuna mahali alilalamika!
Mada ndo nimeileta humu ili tujadili cha kufanya, wewe waona tufanyaje?

jamii forums naitumia as a source of ideas nachanganya na zangu then napata a solution to a problem....so far sijapata idea from ur thread...ningechangia iwapo ulitoa idea !!!
 
jamii forums naitumia as a source of ideas nachanganya na zangu then napata a solution to a problem....so far sijapata idea from ur thread...ningechangia iwapo ulitoa idea !!!

sawa.
Lakini hudhani kama kung'amua tatizo ni sehemu ya kwanza ya kushughulika nalo?

Viongozi wetu wa kisiasa wamekuwa wakishindwa kukabili matatizo kwa kufeli katika kuyatambua, ambayo ni hatua ya kwanza.
Utakuta kwenye kampeni mtu anasema nitajenga barabara za ghorofa, nitaifanya hii iwe Dubai, nitajenga Machinga Complex tano, n.k n.k, bila kujua kuwa tatizo ni nini.

Mfano hapo kwenye barabara za ghorofa, unakuta tatizo sio barabara, ila tatizo ni foleni inayotokana na msongamano, ila mtu ashafika kwenye suluhisho kabla ya kung'amua tatizo, kisha kulichunguza.
Tuendelee...
 
Ni kweli kabsa.....kwanza tujiulize kwa nn mboga zinapanda bei?? Nn chanzo??
 
Chanzo ni kupanda kwa bidhaa zingine za uzalishaji,
Nasikia huko nyumbani mfuko wa mbolea ni Sh.T 100'000/=
Ni kweli kabsa.....kwanza tujiulize kwa nn mboga zinapanda bei?? Nn chanzo??
 
Mchicha wa obey gharama zake ni kubwa kwasababu wanalima kwa trekta,palizi kwa trekta na wanamwagilia kwa maji ya uhai so sishangai kuuzwa buku tena soon itakuwa buku tano wachemi siye tuendelee kula mchicha wa bonde la msimbazi full virutubisho vyote muhimi kupitia kinyesi cha binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…