Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Kwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.
Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.
Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Na vp km najitolea kwenye huduma km fidia ya kias ambacho napaswa kutoaKwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.
Kila kitu unachopata kama ujira wako kwenye kazi zako ni cha kwake(Mungu) anachotaka utoe Asilimia kumi tu ya hicho umrudishie kingine utumie.Na kwa kumrudishia hicho kidogo anakubariki wewe na familia yako.Kipato kinaongezeka a majanga yanapita mbali na familia yako.
Kiukwel hiyo 15k haitosh kitendo cha kuipunguza ni kuongeza tatizo nadhan kanisa linapaswa libun namna mbadala kwa wale wasiomudu kutoa pesa km fungu la kumiKwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.
Kila kitu unachopata kama ujira wako kwenye kazi zako ni cha kwake(Mungu) anachotaka utoe Asilimia kumi tu ya hicho umrudishie kingine utumie.Na kwa kumrudishia hicho kidogo anakubariki wewe na familia yako.Kipato kinaongezeka a majanga yanapita mbali na familia yako.
Fungu la kumi halina substitute.Hilo linatolewa kama lilivyo.The concept ni kutambua kuwa Mungu amekupa 15000 ili umpe 1500.Otherwise angekupa tu 13500.Kwa hiyo its not your money to decide its his money.Na vp km najitolea kwenye huduma km fidia ya kias ambacho napaswa kutoa
Unaposema 15 haitoshi unamzungumziaje mtu ambaye kipato chake ni elfu tano kwa siku? Habari ya fungu la kumi si ya kanisa ni agizo straight and very plain kutoka kwa Mungu.Hapo awali kabla Yesu hajafa msalabani palikuwa na laana endapo mtu atakwepa kutoa fungu la kumi lakini baada ya Yesu kufa laana hiyo imeondolewa.Kiukwel hiyo 15k haitosh kitendo cha kuipunguza ni kuongeza tatizo nadhan kanisa linapaswa libun namna mbadala kwa wale wasiomudu kutoa pesa km fungu la kumi
Nani alisema Mungu, anataka hela?Kwenye buku kumi na tano yako daily tenga Buku jero kwa ajili ya fungu la kumi.Kwa maana hiyo pesa halali iliyokwenye mamlaka yako kuitumia ni shilingi 13500.Matumizi yako jitahidi yatoshe humo.
Kila kitu unachopata kama ujira wako kwenye kazi zako ni cha kwake(Mungu) anachotaka utoe Asilimia kumi tu ya hicho umrudishie kingine utumie.Na kwa kumrudishia hicho kidogo anakubariki wewe na familia yako.Kipato kinaongezeka a majanga yanapita mbali na familia yako.
Kwa nini uwapelekee, walishawahi kukuuguza wakati ukiwa unaumwa?Kiukwel hiyo 15k haitosh kitendo cha kuipunguza ni kuongeza tatizo nadhan kanisa linapaswa libun namna mbadala kwa wale wasiomudu kutoa pesa km fungu la kumi
Mungu anataka Fungu la kumi sasa wewe kama unashamba peleka 10% ya mazao yako.Sasa kama ni mfanya biashara na medium yako ya exchange ni money utapeleka nini?kama unalipwa mshahara in terms of money utapeleka nini?Nani alisema Mungu, anataka hela?
Anayepokea fungu la 10 ni Mungu au binadamu?Mungu anataka Fungu la kumi sasa wewe kama unashamba peleka 10% ya mazao yako.Sasa kama ni mfanya biashara na medium yako ya exchange ni money utapeleka nini?kama unalipwa mshahara in terms of money utapeleka nini?
meku achana na kujaza matumbo ya wachungaji mungu hana shida pesa zako wew jiwekee ka akiba utoe misaada kwa kile ulichonacho kwa ndugu wasiojiweza pamoja na wasiojiweza waliotuzunguka utafanikiwa sana kuliko kuendelea kuimarisha matumbo yakina shoo na gwajiboyWadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo.
Utata unakuja kwenye kutoa fungu la kumi kanisan, kwa mchanganuo huo nalazimika kutumia kwa kunyata mno kwa sabab pesa ni kidogo lkn naambiwa lazima nitoe fungu la kumi.
Najiuliza hawa wanaomudu kutoa fungu la kumi wamenizid kipato au kuna namna ya kumudu yote hayo???
Yes hata mimi nilifanikiwa kwa kipindi kifupi sana nilipoanza kutoa fungu la kumi.Nilivoanzaga kutoa fungus la kumi hata kwenye hicho kidogo ninachopata aisee mambo yalianza kunyooka na majanga mengi yakanitoka aisee, so na wewe uwe unatenga kidogo utaona mafanikio, sio fungu la kumi tu watoaji wengi ndio wamefanikiwa
Kwa mawazo haya utaendelea kuwa maskini, wewe ni mchoyo Wala na mimi nilikuwaga ka wewe naona kidogo siku nilivoanza kutoa nimeona mafanikioKiukwel hiyo 15k haitosh kitendo cha kuipunguza ni kuongeza tatizo nadhan kanisa linapaswa libun namna mbadala kwa wale wasiomudu kutoa pesa km fungu la kumi
Kabisa mkuu ,hiyo elfu 10 anayoacha home kila siku sijaelewa anamuachia mke au kuna sehemu anakuwa anahifadhi kama akiba yake.Hiyo bajeti ya kuacha elfu10 kwa siku nyumbani ni bajeti ya walau anayeingiza 1ml kwa mwezi. Mzee unajitesa sana au una familia kubwa?
Fungu la kumi kapanga Mungu mwenyewe. Inaitwa Zaka kwa Kiswahili na TITHE kwa kiingereza. Ukipitia Biblia yako ambayo cleary unaonekana huisomi bwana Joseph utaona haya yote yameandikwa kwa uwazi kabisa.Fungu la kumi kapanga Mungu au binadamu? Na kama ni binadamu, Mungu aliwaambia wapange? Mali zote ni za Mungu, unampa za nini? Acheni hizo!! Nitampa mtu ninaeona ana uhitaji!
Bila shaka hapew mungu,anayepewa ni mtumish wa mungu kupitia kanisaNani alisema Mungu, anataka hela?