Fungate la sosoliso

Mkuu sosoliso imekuwaje umeoa kimyakimya bila hata mimi jirani yako kufahamu hilo, au ulifanya kilimo kwanza?

Shkamoo shemeji Mokoyo. Mbona sikukuona harusini jamani....basi karibu hata nyumbani japo uone picha zaidi! Tutakuchinjia bata mzinga! Karibu sana shemegi!

Mama Vijavyo!
 
Last edited by a moderator:
Kilimo kwanza mkuu Mokoyo ikapelekea ndoa ya mkeka..

Babe sososliso si umwambie ukweli shemeji Mokoyo!?!? Afu tunakaribia kutimiza anivesari moja! Heheheee mandolin nishichoka ujue bebi..........kuingiza gia na hili tumbo miguu inapata ganzi! Sawa beib eenh!?
 
Last edited by a moderator:
one day my girl did that to me..

tuko kama distance ya hatua 10, lakini bado anataka tuchati kwa simu!

BWL!!
 
My dear u mpole mpaka nakupenda bure. Ww si unajidai una codes za kifanyio cha mumengwa? Ss mie ni hacker! Na aktuale nimeshahack na udukuz ukafanyika! Si umeona mlishonyuma wa mumeo juu ya mke wa sosoliso? Haya kiwatengu rudi kwa mkeoOoooo

Lazima nkifanyie uchunguzi mumeo alivokitembezi sijui kama wangu atarudi salama.
 
Last edited by a moderator:
Ban kwa mume wangu sa sintaumia mwenyewe

Wanaume wote hawa utaumiaje sasa..? Ntakukabidhi kwa Mr Rocky akusaidie kwa kipindi chote ambacho utakuwa umempa ban kiwatengu..

Lazima nkifanyie uchunguzi mumeo alivokitembezi sijui kama wangu atarudi salama.

Tena umpime damu kubwa na ndogo.. kisha ukichunguze kifanyio chake kama hakijachongeka kama penseli..

sosoliso anamuuliza bestman kinachofuata Paloma nae anamuuliza shost wake amu vp mbona huyu mwanaume simuelewi.

Mhh mpana wewe lol..
 
Last edited by a moderator:
Afu sosoliso hiyo mimba inazaliwa lini tangu mjitangaze mna mimba miezi kumi imepita.kwani Paloma ana uzazi wa tembo.
Mapacha ni miezi tisa usije ukapitiliza ukidhani ni 18 kwakua ni pacha
 
Huu ndo mwezi wa tisa unaingia na wewe lol.. Hebu tuacheni tupumue jamani..

cc kwa mke wangu nimpendae kuliko vyote duniani Paloma a.k.a mama vjacho a.k.a mama wawili..
 
Last edited by a moderator:
Huu ndo mwezi wa tisa unaingia na wewe lol.. Hebu tuacheni tupumue jamani..

cc kwa mke wangu nimpendae kuliko vyote duniani Paloma a.k.a mama vjacho a.k.a mama wawili..

Afadhali maana nilishanunua diaper nilikuwa na wasiwasi itambana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…