Hahahahaha unajifanya hujui...anakutengenezea ikae vuzur
Yah ana nia nzuri tu wala usijari ila mtakapofumwaa hiyo nia sidhani kama itakuwa nzuri tena,ila kwa sasa ni nzuri tuBasi kumbe anania nzuri2
Yah ana nia nzuri tu wala usijari ila mtakapofumwaa hiyo nia sidhani kama itakuwa nzuri tena,ila kwa sasa ni nzuri tu
Yamekupalia eeee.........kunywa maji basiKoho kohoo!!
View attachment 137662
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate.
Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa.
Cc Baba V Arushaone inabidi hii ndoa ifanyiwe ukaguzi upya
hii ndoa sasa mashaka matupu sana
halafu hapo ndo wanafanya nini tena?
Umejuaje kama mke wa mwenzio mtamu?